Wagombea watano wa uraisi wa Jamhuri ya Gineh Bisao wametaka kubatilishwa uchaguzi huo kwa udanganyifu uliotokea katika uchaguzi huoMmoja miunguni mwa wagombea wa uraisi wa Jamhuri ya Gineh Bisao amesema: tunahitaji kubatilishwa uchguzi kwa sababu yakuwa uchaguzi huo kulitokea baadhi ya mapungufu na haukuwa wa uhuru.Jumapili iliopita wananchi wa nchi hiyo walikwenda katika masanduku ya kupiga kura, ili kumchagua Raisi wa nchi hiyo, na wagombea 9 waliwania kiti hicho cha uraisi ambapo watano kati yao walishiriki pia katika uchaguzi wa mwaka 2009
20 Machi 2012 - 20:30
News ID: 303768
Wagombea watano wa uraisi wa Jamhuri ya Gineh Bisao wametaka kubatilishwa uchaguzi huo kwa udanganyifu uliotokea katika uchaguzi huo